13
Jan

Kunavitu ukiadd kwa food, my friend, hata kama wala sukuma, ile harufu itatoa, majirani watadhani wala kuku. Chibundiro ni moja yao